Amenipanda-Jemmimah Thiong'o
HQAmenipanda-Jemmimah Thiong'o无损flac下载mp3下载
Amenipanda-Jemmimah Thiong'o 在线试听歌词免费下载
[ti:Amenipanda]
[ar:Jemmimah Thiong'o]
[al:Alinitua]
[by:]
[offset:0]
[00:01.23]Amenipanda - Jemmimah Thiong'o
[00:02.29]
[00:09.81]Bwana asema amenipanda mimi
[00:14.64]Kando ya mito yenye maji mengi
[00:18.50]
[00:19.86]Bwana asema amenipanda mimi
[00:24.87]Kando ya mito yenye maji mengi
[00:28.85]
[00:30.11]Ni Bwana alonipanda kwa mikono yake Baba
[00:34.41]
[00:35.19]Kando ya mito yenye rehema na baraka
[00:38.84]
[00:40.15]Kunipalilia Baba sikosi mbolea maji
[00:44.25]
[00:44.85]Naishi nikiamini siwezi nyauka nimepandwa ee
[00:50.69]Bwana asema amenipanda mimi
[00:55.46]Kando ya mito yenye maji mengi
[00:59.41]
[01:00.73]Bwana asema amenipanda mimi
[01:05.74]Kando ya mito yenye maji mengi
[01:09.61]
[01:10.79]Kweli Baba wa rehema amenipanda mimi
[01:15.00]
[01:15.64]Baraka zanifuata kokote niendako
[01:19.67]
[01:20.84]Amenipa uhai akalinda afya yangu
[01:25.98]Ndiposa nashuhudia sifa alozipanda Mungu wangu
[01:31.48]Bwana asema amenipanda mimi
[01:35.86]
[01:36.57]Kando ya mito yenye maji mengi
[01:40.24]
[01:41.51]Bwana asema amenipanda mimi
[01:46.05]
[01:46.63]Kando ya mito yenye maji mengi
[01:50.47]
[01:51.75]Imani ya wokovu Hushinda majaribu
[01:56.59]Hiyo ni baadhi ya mito nilopandwa kwayo
[02:00.58]
[02:01.62]Mambo yangu yote baba hupanga kwa utaratibu
[02:06.66]Kwa maana anijali aliyenipanda Mungu wangu wee
[02:12.55]Bwana asema amenipanda mimi
[02:17.20]Kando ya mito yenye maji mengi
[02:21.04]
[02:22.30]Bwana asema amenipanda mimi
[02:27.45]Kando ya mito yenye maji mengi
[02:31.60]
[02:32.59]Hakuna juu mbinguni wala chini duniani
[02:36.79]
[02:37.48]Anayeshinda Mungu muumba mpanzi wangu
[02:41.57]
[02:42.56]Hunizunguka mimi kwa damu ya mwanao
[02:47.02]
[02:47.64]Hunilinda vyema sipati madhara kwani nimepandwa ee
[02:53.19]Bwana asema amenipanda mimi
[02:58.08]Kando ya mito yenye maji mengi
[03:02.02]
[03:03.10]Bwana asema amenipanda mimi
[03:08.24]Kando ya mito yenye maji mengi
[03:12.13]
[03:13.32]Bwana asema amenipanda mimi
[03:18.00]
[03:18.53]Kando ya mito yenye maji mengi
[03:22.50]
[03:23.59]Bwana asema amenipanda mimi
[03:28.83]Kando ya mito yenye maji mengi
[03:32.59]
[03:33.72]Bwana asema amenipanda mimi
[03:38.96]Kando ya mito yenye maji mengi
[03:42.81]
[03:44.09]Bwana asema amenipanda mimi
[03:49.17]Kando ya mito yenye maji mengi
[03:52.96]
[03:54.33]Bwana asema amenipanda mimi
[03:58.77]
[03:59.33]Kando ya mito yenye maji mengi
[04:03.27]
[04:04.36]Bwana asema amenipanda mimi
[04:09.01]
[04:09.56]Kando ya mito yenye maji mengi
Amenipanda-Jemmimah Thiong'o歌曲下载
| 歌曲 | 歌手 | 专辑 | 时长 | 歌曲下载 |
|---|---|---|---|---|
| Nipe Amani-Skit | Jemmimah Thiong'o | Imani | 10:18 |
|
| Mganga | Jemmimah Thiong'o | Penya | 03:51 |
|
| Msingi | Jemmimah Thiong'o | Penya | 03:16 |
|
| Unambegu | Jemmimah Thiong'o | Imani | 04:36 |
|
| Mwamba | Jemmimah Thiong'o | Penya | 02:59 |
|
| Rafiki | Jemmimah Thiong'o | Alinitua | 04:46 |
|
| Baba Mwema | Jemmimah Thiong'o | Alinitua | 05:23 |
|
| Mwambie | Jemmimah Thiong'o | Imani | 04:31 |
|
| Nakuhitaji | Jemmimah Thiong'o | Imani | 04:39 |
|
| Mukumbi | Jane Thiong'o | Ciiraniro | 07:08 |
|
Amenipanda-Jemmimah Thiong'o热门评论
Amenipanda-Jemmimah Thiong'o 同专辑其他歌曲
- Mwenye Baraka-Jemmimah Thiong'o
- Hakuna-Jemmimah Thiong'o
- Pendo La Ajabu-Jemmimah Thiong'o
- Haistahili Kamwe-Jemmimah Thiong'o
- Mipango Ya Mungu-Jemmimah Thiong'o
- Alinitua-Jemmimah Thiong'o
- Umbea-Jemmimah Thiong'o
- Baba Mwema-Jemmimah Thiong'o
- Nimeshapata-Jemmimah Thiong'o
- Njoo Kwake Yesu-Jemmimah Thiong'o
- Rafiki-Jemmimah Thiong'o