Mwenye Baraka-Jemmimah Thiong'o
HQMwenye Baraka-Jemmimah Thiong'o无损flac下载mp3下载
Mwenye Baraka-Jemmimah Thiong'o 在线试听歌词免费下载
[ti:Mwenye Baraka]
[ar:Jemmimah Thiong'o]
[al:Alinitua]
[by:]
[offset:0]
[00:00.91]Mwenye Baraka - Jemmimah Thiong'o
[00:02.48]
[00:20.90]Akisema atakubariki hakuna atakayezuia
[00:25.78]Kwani yeye ndiye Mungu mwenye baraka zote
[00:30.33]
[00:31.25]Akisema atakubariki hakuna atakayezuia
[00:36.38]Kwani yeye ndiye Mungu mwenye baraka zote
[00:41.45]
[00:42.16]Akisema atakubariki wala usitie shaka
[00:47.31]Kwani yeye ndiye Mungu mwenye baraka zote
[00:52.05]
[00:52.74]Mipango yake ya ajabu tena haibadiliki
[00:57.24]
[00:57.91]Akisema atakuinua ndiye mwenye kuinua
[01:03.39]Akisema atakupa mtoto katika umri wowote
[01:08.75]Aliwapa Sara na Ana lipi asiloweza
[01:13.58]
[01:14.17]Akisema atakubariki hakuna atakayezuia
[01:19.25]Kwani yeye ndiye Mungu mwenye baraka zote
[01:24.17]
[01:24.81]Akisema atakubariki hakuna atakayezuia
[01:29.85]Kwani yeye ndiye Mungu mwenye baraka zote
[01:34.97]Akisema atakubariki watoto wako waelimike
[01:40.59]Wapate na shahada nyingi hakuna atakayezuia
[01:45.43]
[01:45.94]Akisema utapona hakuna atakayezuia
[01:51.19]Mama aliyetokwa na damu alipona na kaziyake
[01:56.72]Akisema atakubariki hakuna atakayezuia
[02:01.85]Atalinda afya yako maana yeye ndiye mwenye afya
[02:07.53]Akisema atakubariki hakuna atakayezuia
[02:12.64]Kwani yeye ndiye Mungu mwenye baraka zote
[02:16.59]
[02:17.92]Akisema atakubariki hakuna atakayezuia
[02:23.27]Kwani yeye ndiye Mungu mwenye baraka zote
[02:28.27]Watembelea miguu hata baisikeli huna
[02:33.49]
[02:34.07]Akisema uendeshe Musso kesho utaendesha
[02:39.31]Waishi nyumba ya matope huna hata mavazi
[02:44.78]Akisema atakubariki majirani watashangaa
[02:49.03]
[02:49.75]Akisema atakuinua mbele ya adui zako
[02:55.37]Atakuandalia meza ule unywe wakitizama
[03:00.86]Akisema atakubariki hakuna atakayezuia
[03:05.89]Kwani yeye ndiye Mungu mwenye baraka zote
[03:10.00]
[03:11.28]Akisema atakubariki hakuna atakayezuia
[03:16.43]Kwani yeye ndiye Mungu mwenye baraka zote
[03:21.37]
[03:32.84]Akisema atakubariki hakuna atakayezuia
[03:37.73]Kwani yeye ndiye Mungu mwenye baraka zote
[03:42.72]
[03:43.31]Akisema atakubariki hakuna atakayezuia
[03:48.40]Kwani yeye ndiye Mungu mwenye baraka zote
[03:53.33]
[03:54.30]Akisema atakubariki hakuna atakayezuia
[03:58.66]
[03:59.29]Kwani yeye ndiye Mungu mwenye baraka zote
[04:03.99]
[04:04.94]Akisema atakubariki hakuna atakayezuia
[04:10.01]Kwani yeye ndiye Mungu mwenye baraka zote
Mwenye Baraka-Jemmimah Thiong'o歌曲下载
| 歌曲 | 歌手 | 专辑 | 时长 | 歌曲下载 |
|---|---|---|---|---|
| Mwenye Baraka | Jemmimah Thiong'o | Alinitua | 04:24 |
|
Mwenye Baraka-Jemmimah Thiong'o热门评论
Mwenye Baraka-Jemmimah Thiong'o 同专辑其他歌曲
- Hakuna-Jemmimah Thiong'o
- Pendo La Ajabu-Jemmimah Thiong'o
- Haistahili Kamwe-Jemmimah Thiong'o
- Amenipanda-Jemmimah Thiong'o
- Mipango Ya Mungu-Jemmimah Thiong'o
- Alinitua-Jemmimah Thiong'o
- Umbea-Jemmimah Thiong'o
- Baba Mwema-Jemmimah Thiong'o
- Nimeshapata-Jemmimah Thiong'o
- Njoo Kwake Yesu-Jemmimah Thiong'o
- Rafiki-Jemmimah Thiong'o