Wa Kuabudiwa-Christina Shusho
Wa Kuabudiwa-Christina Shusho无损flac下载mp3下载
Wa Kuabudiwa-Christina Shusho 在线试听歌词免费下载
Wa Kuabudiwa - Christina Shusho
Wakuabudiwa, wakuheshimiwa ni wewe Mungu
Wakupewa sifa, na utukufu, ni wewe Mungu
Mungu mwenye nguvu, wastahili heshima zote
Hakuna mwingine wa kulinganishwa na wewe Mungu

Umesema wewe, jina lako liko liliko ni we Mungu
Unafanya mambo yaliyo juu ya fahamu zetu Mungu
Ukisema ndiyo, nani awezaye kupinga? Hakuna
Wewe unatupa kushinda na zaidi ya kushinda
Unatupandisha utukufu hadi utukufu; Mungu

Uzima wetu uko mikononi mwako Mungu
Unawapa nguvu, wanyonge na wadhaifu Mungu
Unawanyeshea mvua wema na waovu mungu
Wanadamu nani wa kulinganishwa na wewe
Nani mwenye nguvu wa kusimama mbele yako Mungu

Wa Kuabudiwa-Christina Shusho歌曲下载
| 歌曲 | 歌手 | 专辑 | 时长 | 歌曲下载 |
|---|---|---|---|---|
| Wa Kuabudiwa | Christina Shusho | 10:00 |
|
Wa Kuabudiwa-Christina Shusho热门评论
Wa Kuabudiwa-Christina Shusho 同专辑其他歌曲
- Unikumbuke-Christina Shusho
- Bwana Umenichunguza-Christina Shusho
- Mshukuru Bwana-Christina Shusho
- Adamu-Christina Shusho
- Hapo Mwanzo-Christina Shusho
- Mtetezi Wangu-Christina Shusho
- Tumsifu Bwana-Christina Shusho