Adamu-Christina Shusho
HQAdamu-Christina Shusho无损flac下载mp3下载
Adamu-Christina Shusho 在线试听歌词免费下载
Adamu - Christina Shusho
Mungu alipo muumba adamu
Hakumwacha awe pekeyake
Akamfanyia msaidizi wakufanana naye
Nyama yake katika nyama zake mfupa wake kati mifupa yake
Mwanamume ataacha wazazi wake ataambatana na mkewe mwanamke
Ataacha wazazi wake ataambatana na mumewe
Hawa wawili watakuwa mwili mmoja kwani nia moja washirikiane kwa pamoja
Mambo haya matetu yawe ngao kwa upendo wenu eeeh hee hee hee
Mambo haya matetu yatumike katika ndoa yenu eeh hee hee hee
Nakupenda mpenzi wangu ulivyoumbika
Nakupenda katika viumbe umezidi wote
Nakupenda nimekuchagua uwe wangu
Nakupenda kifo tu kitutenganishenisamehe nikukosea unisamehe
Nisamehe nisamehe nisamehe mpenzi
Nisamehe mimi ni mwanadamu wala c malaika
Nisamehe ninaomba nisamehe mpenzi
Asante kwa kunichagua niwe wako
Asante umetimiza ahadi ya ndoa
Asante nitajitahidi niwe mwaminifu
Asante asante mpenzi wanguasante
Tuzishike sheria za mungu tutapona eeh tutapona eeh
Tusikilize wenye hekima tutapona eeh tutapona eeh
Kama kujenga watu wawili mimi nawewe tutunze ndoa yetu eeh
Tusisikilize walimwengu hawana wema hawana wema hao
Tupate kwa neno tulichuje lililo jema liwe letu
Mpenzi wangu
Nakupenda mpenzi wangu ulivyoumbika
Nakupenda katika viumbe umezidi wote
Nakupenda nimekuchagua uwe wangu
Nakupenda kifo tu kitutenganishe
Nisamehe nikukosea unisamehe
Nisamehe nisamehe nisamehe mpenzi
Nisamehe mimi ni mwanadamu wala c malaika
Nisamehe ninaomba nisamehe mpenzi
Asante kwa kunichagua niwe wako
Asante umetimiza ahadi ya ndoa
Asante nitajitahidi niwe mwaminifu
Asante asante mpenzi wangu
Asante
Adamu-Christina Shusho歌曲下载
| 歌曲 | 歌手 | 专辑 | 时长 | 歌曲下载 |
|---|---|---|---|---|
| Adamu | Christina Shusho | Unikumbuke | 07:09 |
|
Adamu-Christina Shusho热门评论
Adamu-Christina Shusho 同专辑其他歌曲
- Unikumbuke-Christina Shusho
- Bwana Umenichunguza-Christina Shusho
- Mshukuru Bwana-Christina Shusho
- Wa Kuabudiwa-Christina Shusho
- Hapo Mwanzo-Christina Shusho
- Mtetezi Wangu-Christina Shusho
- Tumsifu Bwana-Christina Shusho