Machozi Ya Furaha-LADY JAYDEE
Machozi Ya Furaha-LADY JAYDEE无损flac下载mp3下载
Machozi Ya Furaha-LADY JAYDEE 在线试听歌词免费下载
[ti:Machozi Ya Furaha]
[ar:LADY JAYDEE]
[al:Machozi]
[by:]
[offset:0]
[00:00.00]Machozi Ya Furaha - LADY JAYDEE
[00:04.05]Lyricist:Unknown
[00:08.10]Composer:Unknown
[00:12.15]Nakupenda mpenzi wa maisha maisha aaah
[00:18.07]Na mimi moyoni nina furaha tele moyoni
[00:24.04]Kuwa wako mwenzi wa maisha katu hayatoisha
[00:29.69]Toka moyoni mwangu nimekuchagua wee uwe wangu
[00:35.69]Vipingamizi vingi waliweka
[00:38.68]Asante mola tumevuka tu pamoja sasa
[00:44.17]Wenye kusema waache waseme nakupenda wanipenda
[00:50.47]Furaha twaidumisha nitakuwa wako maisha we u wangu kabisa
[01:05.22]Siku yangu imefika imefika aaah na mimi moyoni
[01:13.50]Nina furaha tele moyoni
[01:16.51]Kukupata mwenzi wa maisha
[01:19.62]Nami naahidi nitakupa vyote
[01:25.14]Tangu sasa hata milele
[01:28.61]Siku yangu imefika imefika aaah aah
[01:34.03]Na mimi moyoni nina furaha tele moyoni
[01:40.18]Furaha furaha furaha tele moyoni
[01:46.12]Furaha furaha furaha tele moyoni
[01:54.25]Mmmhhhh
[02:00.01]Uuuhh ulala lala lala lalala oooh
[02:11.92]Uuuuh woh woh woh iiihh iiiiih iiih
[02:21.65]Uuuuuuuh huh
[02:26.21]Ulala lala lalaa aaah uuuh aahh oooh la lala lala
[02:50.13]Natoa machozi ya furaha furaha furaha
[02:56.04]Kwani penzi letu limekwisha ota mizizi
[03:02.01]Umekuwa wangu la azizi
[03:05.09]Nami naamini tutaishi sote tutapita na pande zote
[03:13.76]Nimekuwa wako mahabuba
[03:16.61]Kaeni kando acheni pupa tutapita kote
[03:22.24]Pande zote mahali pote
[03:25.49]Wenye kusema na waseme
[03:28.24]Nakupenda wanipenda
[03:31.17]Umekuwa wangu wa maisha wa maisha aah maisha
[03:39.64]Mmmhhh
[03:45.50]Uuuh uhhh ulala lala lala lala laa
[03:57.26]Ninalo penzi la milele moyoni mwangu
[04:08.90]Ninatoa machozi ya furaha aaah
[04:14.79]Yeeeh nina furaha ninalo penzi la milele
[04:26.42]Uuuh aaaah
[04:34.53]Mhhhhhhhh
Machozi Ya Furaha-LADY JAYDEE歌曲下载
Machozi Ya Furaha-LADY JAYDEE热门评论
Machozi Ya Furaha-LADY JAYDEE 同专辑其他歌曲
- Machozi-LADY JAYDEE
- Nalia-LADY JAYDEE
- Penzi La Miele-LADY JAYDEE
- Pumziko-LADY JAYDEE
- Waweza Kwenda-LADY JAYDEE
- Matatizo-LADY JAYDEE
- Nimekubali-LADY JAYDEE
- Tatiza-LADY JAYDEE
- Shida-LADY JAYDEE
- Umuhimu Wako-LADY JAYDEE
- Waweza Kwenda-LADY JAYDEE