Ritah-Marlaw/Baby J无损flac下载mp3下载
Ritah-Marlaw/Baby J 在线试听歌词免费下载
[ti:Ritah]
[ar:Marlaw/Baby J]
[al:Bembeleza]
[by:]
[offset:0]
[00:00.00]Ritah - Marlaw/Baby J
[00:13.65]Ooh Rita Rita
[00:16.38]Ooh Rita Rita
[00:19.34]Ooh Rita Rita
[00:22.33]Ooh Rita oh no no no
[00:25.35]Sauti inasikika Tega makini
[00:27.71]Hujui nani inamwita eeee
[00:31.09]Chozi lanitoka nitazamapo angani
[00:33.78]Naona Sura ya Rita
[00:35.48]Eeeeee
[00:36.93]Ona mikono yangu mitupu
[00:39.62]Imezoea kukushika we
[00:42.74]Hata nyumbani kwangu haupo umepotea sikuoni kwamwe
[00:48.51]Ooh Rita
[00:50.12]Ooh Rita
[00:51.61]Daily nakuwaza wee
[00:54.54]Ooh Rita
[00:56.00]Ooh Rita
[00:57.61]Mimi nitanyamazaje
[01:01.30]Rita we unajua jinsi gani mimi na wewe tulivyopendana
[01:06.89]Jitoa sadaka kimapenzi ilimradi tusijetengana
[01:12.36]Ila we unajua ni yako familia
[01:15.99]Damu yangu ya Bongo si ya Asia
[01:18.90]Ndo kigezo cha wao kunitosa mara mbili risasi wamenikosa
[01:23.82]Kumbuka ile mimba ndio iliyokufanya
[01:26.68]Ukaja kwangu
[01:27.81]Ulifukuzwa kwenu
[01:29.53]Ulijifunguapo mtoto na wote mkaishi kwangu
[01:33.92]Ukawachukiza kwenu
[01:35.35]Na taarifa ikaja kwako wewe Rita
[01:38.43]Uende Arusha nduguzo wanakwita
[01:41.58]Ukani kiss kiss mimi na mtoto
[01:44.47]Nikakukiss hey hey
[01:47.27]Sauti inasikika Tega makini
[01:49.96]Hujui nani inamwita
[01:51.55]Eeee
[01:53.02]Chozi lanitoka nitazamapo angani
[01:55.68]Naona Sura ya Rita
[01:57.40]Eeeeee
[01:58.88]Ona mikono yangu mitupu
[02:01.67]Imezoea kukushika we
[02:04.71]Hata nyumbani kwangu haupo umepotea sikuoni kwamwe
[02:10.55]Ooh Rita
[02:12.04]Ooh Rita
[02:13.49]Daily nakuwaza wee
[02:16.45]Ooh Rita
[02:17.85]Ooh Rita
[02:19.34]Mimi nitanyamazaje
[02:23.14]Ni tangu Arusha hadi
[02:24.45]Iringa simu inaita napokea unalia
[02:28.86]Kurudi Iringa uishi nami ndugu zako wamekuzuia
[02:33.51]Ukasema laiti ungejua usingekubali uondokee pekee
[02:40.02]Mwanao analia
[02:43.00]Ona mumeo ni bora ninywe pombe
[02:46.06]Ila kwa penzi ukafosi kurudi
[02:48.30]Piga simu mume wangu nakuja
[02:51.30]Na maneno ya konda kwenye basi ulifika alikupa siti ukakaa
[02:55.44]Ulipokaa ukakaa
[02:57.09]Ile ile siku mi nimelelewa
[03:00.03]Niko mi na mwanangu kumpokea mke wangu
[03:03.47]Konda akasema si wewe
[03:06.27]Ila tu mwili wako
[03:09.21]Sauti inasikika Tega makini
[03:11.74]Hujui nani inamwita
[03:13.52]Eeeee
[03:14.91]Chozi lanitoka nitazamapo angani
[03:17.59]Naona Sura ya Rita
[03:19.32]Eeeeee
[03:20.06]Rita
[03:20.67]Ona mikono yangu mitupu
[03:23.51]Imezoea kukushika we
[03:26.69]Hata nyumbani kwangu haupo umepotea sikuoni kwamwe
[03:32.47]Ooh Rita
[03:34.03]Ooh Rita
[03:35.48]Daily nakuwaza wee
[03:37.86]Rita
[03:38.44]Ooh Rita
[03:39.88]Ooh Rita
[03:41.28]Mimi nitanyamazaje
[03:45.54]Ooh Rita
[03:48.48]Rita ahh
[03:51.00]Oh Rita deoee
[03:57.05]Na Marco Chali
[03:59.38]Ndani ya MJ Records
[04:02.13]This is true story to Marco
[04:06.59]Rita
[04:09.69]Rita
[04:12.62]Rita
[04:14.63]Aaah hata nyumbani kwangu haupo
Ritah-Marlaw/Baby J歌曲下载
Ritah-Marlaw/Baby J热门评论
Ritah-Marlaw/Baby J 同专辑其他歌曲
- Bembeleza-Marlaw/Baby J
- Mwafaka-Marlaw/Baby J
- Amini-Marlaw/Baby J
- Si Amini-Marlaw/Baby J
- Bado Umenuna-Marlaw/Chidi Benz/Baby J
- Bembeleza Remix-Marlaw/Baby J
- Daima Na Milele-Marlaw/Baby J
- Sikuachi-Marlaw/Baby J
- Wewe Na Mimi-Marlaw/Baby J
- Busu La Pink-Marlaw/Baby J
- Iache Yenyewe-Marlaw/Baby J