Nipe Amani-Jemmimah Thiong'o
Nipe Amani-Jemmimah Thiong'o无损flac下载mp3下载
Nipe Amani-Jemmimah Thiong'o 在线试听歌词免费下载
[ti:Nipe Amani]
[ar:Jemmimah Thiong'o]
[al:Imani]
[by:]
[offset:0]
[00:02.74]Nipe Amani - Jemmimah Thiong'o
[00:03.74]
[00:32.18]Ee Baba yangu naja mbele zako naomba amani
[00:37.39]Maana nimeitafuta amani lakini sipati
[00:42.13]
[00:43.00]Nizungukapo na majaribu mbalimbali ninakuamini
[00:48.04]Ya kwamba nikulilia wewe tanipa amani
[00:53.39]Mali na nyumba na magari makubwa hayana amani
[00:58.74]Yananipa kusononeka kwa moyo naomba amani
[01:03.97]Nanyenyekea mbele zako Mungu wangu naomba amani
[01:09.17]Na sina shaka wewe utanipa nina shauku
[01:14.83]Baba utizame moyo wangu nipe amani
[01:20.12]Baba utizame moyo wangu nipe amani
[01:25.43]Baba utizame moyo wangu nipe amani
[01:30.79]Baba utizame moyo wangu nipe amani
[01:36.32]Wakati mume amekuwa kigeugegu mama usilie
[01:41.13]Maana Yesu hatakugeuka yeye akupenda
[01:46.42]Licha na uchungu uliyo nayo moyoni mtizame Baba
[01:51.94]Mwambie yote utakayo atimize yeye akujali
[01:57.32]Ulezi wa wana hata elimu yeye atakupa
[02:02.36]Omba nguvu upige magoti baba mwambie akupe amani
[02:08.24]Baba utizame moyo wangu nipe amani
[02:13.51]Baba utizame moyo wangu nipe amani
[02:18.77]Baba utizame moyo wangu nipe amani
[02:24.01]Baba utizame moyo wangu nipe amani
[02:29.19]
[02:50.86]Ee mama mjane naelewa unavyo hisi moyo unauma
[02:55.92]Baada ya mumeo kufa mama huna pa kwenda
[03:01.40]Wakweza wamekufukuza mbali wewe huna nyumba
[03:06.69]Marupurupu ya mumeo kazini wataka nyakua
[03:11.99]Usilie mama Mungu anaona naye akujali
[03:17.17]We piga magoti inua mikono Omba Baba amani
[03:22.86]Baba utizame moyo wangu nipe amani
[03:28.08]Baba utizame moyo wangu nipe amani
[03:33.46]Baba utizame moyo wangu nipe amani
[03:38.66]Baba utizame moyo wangu nipe amani
[03:43.99]Baba utizame moyo wangu nipe amani
[03:49.31]Baba utizame moyo wangu nipe amani
[03:54.74]Baba utizame moyo wangu nipe amani
[04:00.09]Baba utizame moyo wangu nipe amani
[04:04.72]
[04:05.24]Baba utizame moyo wangu nipe amani
[04:10.61]Baba utizame moyo wangu nipe amani
[04:16.03]Baba utizame moyo wangu nipe amani
[04:21.31]Baba utizame moyo wangu nipe amani
Nipe Amani-Jemmimah Thiong'o歌曲下载
Nipe Amani-Jemmimah Thiong'o热门评论
Nipe Amani-Jemmimah Thiong'o 同专辑其他歌曲
- Nipe Amani-Jemmimah Thiong'o
- Imani-Jemmimah Thiong'o
- Mwambie-Jemmimah Thiong'o
- Mileler Nitakuimbia-Jemmimah Thiong'o
- Sina Chakujivunia-Jemmimah Thiong'o
- Umenitendea( utukufu)-Jemmimah Thiong'o
- Unambegu-Jemmimah Thiong'o
- Furahi Naye-Jemmimah Thiong'o
- Mwana Yatima-Jemmimah Thiong'o
- Nusuru Moyo-Jemmimah Thiong'o
- Nipe Neema-Jemmimah Thiong'o
- Niseme Nini-Jemmimah Thiong'o
- Nakuhitaji-Jemmimah Thiong'o