Waraka-Bahati Bukuku
HQWaraka-Bahati Bukuku无损flac下载mp3下载
Waraka-Bahati Bukuku 在线试听歌词免费下载
Waraka wa amani
Uliowafanya wayahudi washindwe kula na kunywa wakati ule Waraka wa amani
Uliowafanya wayahudi washindwe kula na kunywa wakati ule.
Waraka ulioandikwa wayahudi wauwawe Waraka uliotangazwa modekai anyongwe Waraka ulioandikwa wayahudi wauwawe Waraka ulioandikwa modekai anyongwe.
Esther akiwa kwenye nyumba ya kifalme, Esther akiwa ni malikia.
Ndipo modekai alirarua mavazi yake akavaa mavazi ya magunia ilionyesha ya kwamba anaomboleza.
Akasimama mbele ya malikia aaa akamwambia Esther mama naomba sikia ujue umekuja Esther kwa wakati huu hakuna wakati mwingine waweza kutuokoa.
Ujue umechaguliwa kuwa malikia kwa wakati huu.
Hakuna wakati mwingine waweza kutuokoa.
Esther kwa maombolezo huku akisindikizwa na maombi ya wayahudi.
Esther aha alikwenda kwenye malangoni PA kifalume kinyume cha taratibu.
Esther aha kwa kutangaziwa alikwenda oho kinyume cha taratibu akamwambia eeeh mfalme ukiona vyema aha waweza kuniruhusu niingie malangoni pako akamwambia eeeh mfalme hee ukiona vyema waweza kuniruhusu niingie malangoni pako.
Esther
Waraka-Bahati Bukuku歌曲下载
| 歌曲 | 歌手 | 专辑 | 时长 | 歌曲下载 |
|---|---|---|---|---|
| Waraka | Bahati Bukuku | Nimesamehewa Dhabi | 12:51 |
|
| 柔らかな光 Yawaraka na Hikari | ストレス解消 | リラックスの時間 Rirakkusu no Jikan | 01:06 |
|
| Waraka Yara Charta Ya | Nazia Iqbal | Zama Dy Zara Balbula, Vol. 4105 | 10:46 |
|
| Waraka Ya Nam Waraka Dubai | Nazia Iqbal | Zama Dy Zara Balbula, Vol. 4105 | 05:41 |
|
| Swara-Kakali (based on Raga Tilang) (1999 Remastered Version) | Yehudi Menuhin\\u0026Ravi Shankar | The Very Best of Ravi Shankar | 08:50 |
|
| Swara-Kakali - based on Raga Tilang (1988 Remastered Version) | Yehudi Menuhin\\u0026Ravi Shankar | 100 Best Menuhin | 08:49 |
|
| Swara-Kakali (Based on Raga Tilang)-based on Raga Tilang | Yehudi Menuhin\\u0026Ravi Shankar | The Menuhin Century - Historic Recordings | 08:50 |
|
| Swara-Kakali (Based On The Raga Tilang) (黑胶版) | Yehudi Menuhin\\u0026Ravi Shankar | West Meets East(黑胶版) | 08:46 |
|
| Yawaraka Na Kaze | MASAYA | Mune Ippai No Ienu Omoi - Orchestra Instrumental | 07:33 |
|
| Swara-Kakali (based on Raga Tilang) (1998 Remastered Version) | Ravi Shankar\\u0026Yehudi Menuhin | The Ravi Shankar Collection | 08:50 |
|
Waraka-Bahati Bukuku热门评论
Waraka-Bahati Bukuku 同专辑其他歌曲
- Heshima Ya Dhahabu-Bahati Bukuku
- Majaribu-Bahati Bukuku
- Nimesamehewa-Bahati Bukuku
- Magonjwa Yote-Bahati Bukuku
- Siri Ya Mafanikio-Bahati Bukuku
- Barthimayo-Bahati Bukuku
- Jehova-Bahati Bukuku