Maamuzi-Bahati Bukuku
HQMaamuzi-Bahati Bukuku无损flac下载mp3下载
Maamuzi-Bahati Bukuku 在线试听歌词免费下载
Maamuzi - Bahati Bukuku
Maamuzi yako matokeo ya kesho
Amua vema upate mema wewe
Maamuzi yako matokeo ya kesho
Amua vema upate mema wewe
Alikuwepo mama mmoja ngoja niseme
Jina lake aliitwa tundo
Alisumbuliwa na ugumba miaka mingi
Ndoa yake ilikuwa matatani
Hata mawifi zake wote hawakumpenda tena
Tundo aliamua kwenda kwa waganga
Alizunguka huku na kule kutafuta msaada
Aliona bora aende kwa waganga tundo
Maamuzi yako matokeo ya kesho
Amua vema upate mema wewe
Alikutana na mganga mmoja nchini congo
Akampa dawa za kutosha tundo
Tundo alizaa mtoto wa kiume
Jina lake alimwita sinona
Maajabu aliyokuwa nayo mtoto yule
Alikuwa amezaliwa na meno
Maajabu aliyokuwa nayo sinona
Alizaliwa n meno kama mtu mzima
Tundo kwa kuchelewa kwake alifurahi
Akaamini mganga amemsaidia
Lakini alipokuwa akinyonyesha mtoto yule
Ghafla alimng'ata mwili wake tundo
Mwili ukapoa wote upande mmoja
Lilikuwa ni tatizo lililomsumbua tundo
Maamuzi yako matokeo ya kesho
Amua vema upate mema wewe
Tundo alilia akisema mwili wangu wote
Sasa umebadilika
Rangi ya ngozi yake tundo
Iligeuka ikawa gamba la nyoka mwili mzima
Siku moja marafiki zake
Wakamtembelea tundo
Siku moja ndugu zake
Walipomtembelea tundo
Wakalia sana wakamwambia ndugu yetu
Tundo
Tuna muhubiri anahubiri twende ukaombewe tundo
Maamuzi yako matokeo ya kesho
Amua vema upate mema wewe
Maamuzi yako unayochukua
Amua vema upate mema
Tundo akaondoka na mtoto wake
Huku tatizo la utasa limekwisha
Na kufurahia kumuona mtoto
Alipokuwa muhubiri akihubiri
Aliliona tundo mbele yake
Akamwambia mama njoo mbele
Tundo akasogea akijua muujiza umefika
Akamwambia tundo njoo mbele
Tundo akijua mungu amesikia
Maamuzi-Bahati Bukuku歌曲下载
| 歌曲 | 歌手 | 专辑 | 时长 | 歌曲下载 |
|---|---|---|---|---|
| Maamuzi | Bahati Bukuku | Dunia Haina Huruma | 11:51 |
|
| HATA SASA YUMWEMA \\u0026 MAAMUZI YAKO | Minister Danybless | BWANA NIERUDI TENA | 05:08 |
|
| Maamuzi Magumu | PETER ULAYA | Jobless | 02:41 |
|
| Maamuzi Ya Busara | Kwaya ya Mt. Cesilia Mererani | Maamuzi ya Busara | 08:50 |
|
| Muda wa maamuzi | RW Kuongezeka kwa umakini | Mawazo - muziki wa ala kwa kazi, jazba \\u0026 bossanova, umakini na umakini bora, muziki wa usuli wa ofisi | 04:50 |
|
| Maamuzi Yako (DJ Mix) | DJ WIZZY 254 | Swahili Gospel Songs (DJ Mix) | 04:31 |
|
| Mungu Hafananishwi | Kwaya ya Mt. Cesilia Mererani | Maamuzi ya Busara | 07:41 |
|
| Yote ni Sawa | Kwaya ya Mt. Cesilia Mererani | Maamuzi ya Busara | 05:58 |
|
| Mungu Nitakusifu | Kwaya ya Mt. Cesilia Mererani | Maamuzi ya Busara | 10:14 |
|
| Malkia Wa Rozari | Kwaya ya Mt. Cesilia Mererani | Maamuzi ya Busara | 07:08 |
|
Maamuzi-Bahati Bukuku热门评论
Maamuzi-Bahati Bukuku 同专辑其他歌曲
- Wewe Ni Baba-Bahati Bukuku
- Dunia Haina Huruma-Bahati Bukuku
- Ahabu-Bahati Bukuku
- Atakushangaza-Bahati Bukuku
- Abneli-Bahati Bukuku
- Mbeba Maono-Bahati Bukuku
- Kampeni-Bahati Bukuku
Maamuzi-Bahati Bukuku相关歌曲
- For Every Man There's A Woman-Tony Bennett
- So Cold-Jamie Lidell
- Make Up Your Mind-Aurra
- Seranade (Diamonds & Pearls)-Black Cobain
- Meraviglioso-Various Artists
- Huyo Ni Yesu-Ambassadors Of Christ Choir
- Shorty-Randy Nota Loca
- Stolen-Curren$y
- Come Get Some-The Black Pony
- Get Down On It-Kool & The Gang/Dr. Dre/Lil' Kim
- Myl`nyye puzyri-Fabrika
- Sadoh-Yasser Habeeb
- Yalancısın-Murat Dalkilic
- What good does it do-Tony Bennett
- Let's Turn the Night (Matt Pop-RuPaul
- The Fear-Milk Inc
- Crazy In Love-It's a Cover Up/Jay-Z
- In Your Eyes-The New Cities