Kwetu Pazuri-Ambassadors Of Christ Choir
Kwetu Pazuri-Ambassadors Of Christ Choir无损flac下载mp3下载
Kwetu Pazuri-Ambassadors Of Christ Choir 在线试听歌词免费下载
[ti:Kwetu Pazuri]
[ar:Ambassadors Of Christ Choir]
[al:Kwetu Pazuri]
[by:]
[offset:0]
[00:00.00]Kwetu Pazuri - Ambassadors Of Christ Choir
[00:22.25]Ninayo hamu kurudi nyumbani
[00:26.52]
[00:27.10]Nyumbani kwetu ambako hatutatengana
[00:31.19]
[00:32.25]Hapo nyumbani kwetu hakuna makaburi
[00:37.08]Wala hakuna vyandarua maana hakuna maralia
[00:42.16]Kwetu ni pazur ni pazur nakuapia
[00:46.81]
[00:47.38]Najua nawe ndugu yangu unayo hamu kufika huko
[00:52.50]Kwetu pazuri nimeshapakumbuka
[00:56.81]
[00:57.57]Ninayo hamu kuishi na mwokozi wangu
[01:01.88]
[01:02.50]Kwa amani na furaha tena ya ajabu
[01:06.92]
[01:07.58]Sipati picha kwa watakaofika kwetu mbinguni
[01:12.57]Kwetu pazuri nimeshapakumbuka
[01:17.60]Ninayo hamu kuishi na mwokozi wangu
[01:21.93]
[01:22.81]Kwa amani na furaha tena ya ajabu
[01:26.94]
[01:27.80]Sipati picha kwa watakaofika kwetu mbinguni
[01:32.89]Hii dunia imejaa shida kama hujui nenda hospital kaone
[01:41.88]
[01:42.83]Lakin kwetu hakuna fani ya tabibu
[01:47.17]
[01:47.91]Watakatifu watachuma majani ya mti wa uzima wawe na afya
[01:54.75]
[01:55.36]Hawataugua magonjwa tabu tutaziacha zote hapa duniani
[02:03.04]Kwetu pazuri nimeshapakumbuka
[02:07.60]
[02:08.23]Ninayo hamu kuishi na mwokozi wangu
[02:12.44]
[02:13.13]Kwa amani na furaha tena ya ajabu
[02:17.46]
[02:18.24]Sipati picha kwa watakaofika kwetu mbinguni
[02:23.27]Kwetu pazuri nimeshapakumbuka
[02:28.39]Ninayo hamu kuishi na mwokozi wangu
[02:32.62]
[02:33.26]Kwa amani na furaha tena ya ajabu
[02:37.61]
[02:38.46]Sipati picha kwa watakaofika kwetu mbinguni
[02:43.96]
[03:04.01]Mpendwa njoo turudi nyumbani
[03:08.22]
[03:08.92]Asubui yaja tuyakimbie ya dunia
[03:12.73]
[03:13.91]Atayekosa hapo kwel ni hasara
[03:18.27]
[03:18.83]Aya matatzo ni mitego ya shetan
[03:22.12]Hili tushindwe kufika nyumbani kwetu pazur
[03:28.35]
[03:28.93]Lakini kwa jina jina la yesu tumeshinda tunaenda
[03:34.22]Kwetu pazuri nimeshapakumbuka
[03:38.39]
[03:39.22]Ninayo hamu kuishi na mwokozi wangu
[03:43.40]
[03:44.22]Kwa amani na furaha tena ya ajabu
[03:48.44]
[03:49.23]Sipati picha kwa watakaofika kwetu mbinguni
[03:54.15]Kwetu pazuri nimeshapakumbuka
[03:58.49]
[03:59.28]Ninayo hamu kuishi na mwokozi wangu
[04:03.57]
[04:04.24]Kwa amani na furaha tena ya ajabu
[04:08.62]
[04:09.37]Sipati picha kwa watakaofika kwetu mbinguni
[04:14.39]Kwetu pazuri nimeshapakumbuka
[04:18.72]
[04:19.50]Ninayo hamu kuishi na mwokozi wangu
[04:23.83]
[04:24.47]Kwa amani na furaha tena ya ajabu
[04:28.81]
[04:29.61]Sipati picha kwa watakaofika kwetu mbinguni
Kwetu Pazuri-Ambassadors Of Christ Choir歌曲下载
| 歌曲 | 歌手 | 专辑 | 时长 | 歌曲下载 |
|---|---|---|---|---|
| Kwetu Pazuri | Ambassadors Of Christ Choir | Kwetu Pazuri | 04:39 |
|
| Moyoni Mwangu | Ambassadors Of Christ Choir | Kwetu Pazuri | 06:31 |
|
| Huyo Ni Yesu | Ambassadors Of Christ Choir | Kwetu Pazuri | 05:27 |
|
| Tufanye Kazi | Ambassadors Of Christ Choir | Kwetu Pazuri | 05:28 |
|
| Kuna Siku | Ambassadors Of Christ Choir | Kwetu Pazuri | 05:35 |
|
| Nafundishe Kukupenda | Ambassadors Of Christ Choir | Kwetu Pazuri | 04:58 |
|
| Kazi Ya Mikono | Ambassadors Of Christ Choir | Kwetu Pazuri | 04:15 |
|
| Anayoheri | Ambassadors Of Christ Choir | Kwetu Pazuri | 05:00 |
|
| Nivema Kushukuru | Ambassadors Of Christ Choir | Kwetu Pazuri | 05:55 |
|
Kwetu Pazuri-Ambassadors Of Christ Choir热门评论
Kwetu Pazuri-Ambassadors Of Christ Choir 同专辑其他歌曲
- Tufanye Kazi-Ambassadors Of Christ Choir
- Moyoni Mwangu-Ambassadors Of Christ Choir
- Nafundishe Kukupenda-Ambassadors Of Christ Choir
- Kuna Siku-Ambassadors Of Christ Choir
- Kazi Ya Mikono-Ambassadors Of Christ Choir
- Huyo Ni Yesu-Ambassadors Of Christ Choir
- Nivema Kushukuru-Ambassadors Of Christ Choir
- Amani-Ambassadors Of Christ Choir
- Anayoheri-Ambassadors Of Christ Choir
Kwetu Pazuri-Ambassadors Of Christ Choir相关歌曲
- Wash The Tears-Gramps Morgan
- One In A Million-Gramps Morgan
- Abidjan farot-Espoir 2000
- Calculeuse-Espoir 2000
- Les caissières-Espoir 2000
- Come Back To Bed-Gramps Morgan
- Therapy-India Arie/Gramps Morgan
- I Need You-Q Parker/John P. Kee/Todd Dulaney/Jonathan McReynolds/Jacquees/Travis Greene
- Tufanye Kazi-Ambassadors Of Christ Choir