Mtegemee Yesu-Ambassadors Of Christ Choir
Mtegemee Yesu-Ambassadors Of Christ Choir无损flac下载mp3下载
Mtegemee Yesu-Ambassadors Of Christ Choir 在线试听歌词免费下载
[ti:Mtegemee Yesu]
[ar:Ambassadors Of Christ Choir]
[al:Mtegemee Yesu]
[by:]
[offset:0]
[00:00.00]Mtegemee Yesu - Ambassadors Of Christ Choir
[00:16.88]Mambo mengi yakupata ndugu yanayokuumiza moyo
[00:23.02]Hata ukimwomba Mungu waona
[00:25.96]Kama vile amekutenga
[00:28.93]Maisha magumu shida tupu
[00:31.81]Wapepeshwa dunia nzima
[00:34.69]Unapapasa hapa na pale
[00:37.61]Bila kupata msaada
[00:40.57]Umeanza kukata tamaa imani yako inayumbayumba
[00:46.53]Unajisikia upweke umeachwa kama yatima
[00:52.41]Utokako ni mbali sana kiasi kwamba huwezi rudi
[00:58.10]Mbele huenda kunako giza umekosa matumaini
[01:03.99]Magumu shida yakupatayo ndugu ni ya muda kidogo
[01:09.77]Kamwe yasikutenganishe na yule rafiki wa kweli
[01:15.69]Hebu itegemee ahadi yake kwamba atakuwa nawe
[01:21.49]Hata kwenye wakati huo mgumu mtegemee Yesu
[01:27.36]Magumu shida yakupatayo ndugu ni ya muda kidogo
[01:33.22]Kamwe yasikutenganishe na yule rafiki wa kweli
[01:39.06]Hebu itegemee ahadi yake kwamba atakuwa nawe
[01:45.02]Hata kwenye wakati huo mgumu mtegemee Yesu
[01:53.14]
[02:14.39]Umesongwa nazo shida nyingi lakini mkumbuke Ayubu
[02:20.18]Alivyozidiwa nayo majaribu akasimama imara
[02:25.96]Japo yako imefanywa wimbo nao waumini wenzako
[02:31.77]Sawa na wale marafiki za Ayubu walivyomcheka
[02:37.64]Usiiruhusu shida yako kukunyakua mkononi mwa bwana
[02:43.42]Jibu lako ni yeye pekee tegemeo na kimbilio
[02:49.36]Hata wenzako wakutenge vumilia utayashinda ndugu
[02:55.25]Jipe moyo mtetezi yupo magumu atarahisisha
[03:00.96]Magumu shida yakupatayo ndugu ni ya muda kidogo
[03:06.94]Kamwe yasikutenganishe na yule rafiki wa kweli
[03:12.74]Hebu itegemee ahadi yake kwamba atakuwa nawe
[03:18.63]Hata kwenye wakati huo mgumu mtegemee Yesu
[03:24.46]Magumu shida yakupatayo ndugu ni ya muda kidogo
[03:30.39]Kamwe yasikutenganishe na yule rafiki wa kweli
[03:36.13]Hebu itegemee ahadi yake kwamba atakuwa nawe
[03:42.05]Hata kwenye wakati huo mgumu mtegemee Yesu
[03:47.87]Umeanza kukata tamaa imani yako inayumbayumba
[03:53.90]Unajisikia upweke umeachwa kama yatima
[03:59.56]Utokako ni mbali sana kiasi kwamba huwezi rudi
[04:05.44]Mbele huenda kunako giza umekosa matumaini
[04:11.35]Usiiruhusu shida yako kukunyakua mkononi mwa bwana
[04:17.12]Jibu lako ni yeye pekee tegemeo na kimbilio
[04:22.98]Hata wenzako wakutenge vumilia utayashinda ndugu
[04:28.75]Jipe moyo mtetezi yupo magumu atarahisisha
[04:34.64]Magumu shida yakupatayo ndugu ni ya muda kidogo
[04:40.62]Kamwe yasikutenganishe na yule rafiki wa kweli
[04:46.34]Hebu itegemee ahadi yake kwamba atakuwa nawe
[04:52.28]Hata kwenye wakati huo mgumu mtegemee Yesu
[04:58.10]Magumu shida yakupatayo ndugu ni ya muda kidogo
[05:04.04]Kamwe yasikutenganishe na yule rafiki wa kweli
[05:09.79]Hebu itegemee ahadi yake kwamba atakuwa nawe
[05:15.68]Hata kwenye wakati huo mgumu mtegemee Yesu
Mtegemee Yesu-Ambassadors Of Christ Choir歌曲下载
| 歌曲 | 歌手 | 专辑 | 时长 | 歌曲下载 |
|---|---|---|---|---|
| Mtegemee Yesu | Ambassadors Of Christ Choir | Mtegemee Yesu | 05:29 |
|
| Abasaruzi | Ambassadors Of Christ Choir | Mtegemee Yesu | 04:08 |
|
| Yesu Niwe Mwungeri | Ambassadors Of Christ Choir | Mtegemee Yesu | 04:47 |
|
| Jamani Tutamwona | Ambassadors Of Christ Choir | Mtegemee Yesu | 05:35 |
|
| Jy'ushima Uwite | Ambassadors Of Christ Choir | Mtegemee Yesu | 04:21 |
|
| Ndifunza Kuzagera Yo | Ambassadors Of Christ Choir | Mtegemee Yesu | 05:32 |
|
| Nenda | Ambassadors Of Christ Choir | Mtegemee Yesu | 06:19 |
|
| Iyana Iby'isi | Ambassadors Of Christ Choir | Mtegemee Yesu | 05:09 |
|
Mtegemee Yesu-Ambassadors Of Christ Choir热门评论
Mtegemee Yesu-Ambassadors Of Christ Choir 同专辑其他歌曲
- Abasaruzi-Ambassadors Of Christ Choir
- Ndifunza Kuzagera Yo-Ambassadors Of Christ Choir
- Iyana Iby'isi-Ambassadors Of Christ Choir
- Yesu Niwe Mwungeri-Ambassadors Of Christ Choir
- Jamani Tutamwona-Ambassadors Of Christ Choir
- Jy'ushima Uwite-Ambassadors Of Christ Choir
- Nenda-Ambassadors Of Christ Choir
Mtegemee Yesu-Ambassadors Of Christ Choir相关歌曲
- Wash The Tears-Gramps Morgan
- One In A Million-Gramps Morgan
- Abidjan farot-Espoir 2000
- Calculeuse-Espoir 2000
- Les caissières-Espoir 2000
- Come Back To Bed-Gramps Morgan
- Therapy-India Arie/Gramps Morgan
- I Need You-Q Parker/John P. Kee/Todd Dulaney/Jonathan McReynolds/Jacquees/Travis Greene
- Abasaruzi-Ambassadors Of Christ Choir