Kiatu Kivue-Anastacia Mukabwa/ROSE MUHANDO
Kiatu Kivue-Anastacia Mukabwa/ROSE MUHANDO无损flac下载mp3下载
Kiatu Kivue-Anastacia Mukabwa/ROSE MUHANDO 在线试听歌词免费下载
[ti:Kiatu Kivue]
[ar:Anastacia Mukabwa/ROSE MUHANDO]
[al:Kiatu Kivue]
[by:]
[offset:0]
[00:00.00]Kiatu Kivue - Anastacia Mukabwa/ROSE MUHANDO
[00:17.78]Mungu alinena naye Musa hicho kiatu kivue
[00:22.35]Mungu alinena naye Musa hicho kiatu kivue
[00:26.29]Ulichotoka nacho kwa farao nakwambia
[00:29.91]
[00:30.63]Pahali hapa ni patakatifu hicho kiatu kivue
[00:34.85]Mungu alinena naye Musa hicho kiatu kivue
[00:39.17]Mungu alinena naye Musa hicho kiatu kivue
[00:43.31]Ulichotoka nacho kwa farao nakwambia
[00:46.94]
[00:47.63]Pahali hapa ni patakatifu hicho kiatu
[00:51.27]Musa hicho kiatu Musa hicho kiatu
[00:55.52]Nataka ninene nawe nataka nikutumie
[01:00.00]Nataka nikuinue nataka nikubariki
[01:03.64]Watu wangu waangamia taifa langu la Israeli
[01:07.80]Watu wangu wanasononeka watu wangu wanateseka
[01:12.18]Nataka nikutumie wewe ukaokoe taifa langu we
[01:19.72]
[01:25.55]Hata leo mungu anena nasi hicho kiatu we
[01:30.03]Kiatu ni dhambi uzifanyazo ninakwambia
[01:34.26]Ukahaba unaoeneza kando kando ni kiatu
[01:38.37]Wivu na masengenyo vimekuja ni kiatu
[01:42.57]Kitakupeleka jehanamu hicho kiatu
[01:46.80]Kitakupeleka motoni wewe hicho kiatu
[01:51.00]Uzinzi unaoeneza wewe ni kiatu
[01:55.12]Uvalie wake wa wenzio magoti we nakwambia
[01:59.63]Utongoza waume wa wenzio ni kiatu we
[02:03.86]Kitakupekea jehanamu hicho kiatu
[02:07.66]Mama hicho kiatu baba hicho kiatu
[02:12.10]Nataka ninene nawe maana ninakupenda
[02:16.33]Nataka ninene nawe ili nikuokoe
[02:20.06]Mimi sitaki uangamie mimi sitaki upotee
[02:24.36]Mimi sitaki uangamie maana mimi ninakujali
[02:28.67]Mimi Mungu ni wa neema mimi mungu ni wa upendo
[02:35.73]
[02:46.32]Ukitaka Mungu akubariki lazima kiatu kivue
[02:50.49]Ukitaka kuinuliwa wewe ni lazima kivue
[02:54.93]Wivu ulio nao wewe ni lazima
[02:58.86]Hutaki kuona mwenzako mama akiinuliwa wewe
[03:03.11]Hutaki kuona mwenzako akiwa amependeza
[03:07.28]Hutaki kuona mwenzako akiwa yuko smart
[03:11.51]Tabia ulio nayo mama ninakwambia wewe
[03:15.94]Hutaki kuona ndoa ya mwenzako jamani mke na mume wakicheka
[03:19.80]Tabia uliyo nayo baba nakwambia badilika
[03:24.28]Hutaki kuona huduma ya mwenzako jamani likisonga mbele
[03:28.75]Hebu kivue jamani hebu kivue
[03:32.75]Kiatu cha nyumba ndogo kiatu cha ulevi
[03:37.07]Kiatu cha uzinzi kiatu cha masengenyo
[03:41.01]Kivue kivue kivue
[03:49.62]
[03:57.75]Kivue kiatu kivue kiatu kivue
[04:06.31]
[04:07.11]Mungu ananena nawe hicho kiatu kivue
[04:11.43]Mungu anena nawe hicho kiatu kivue
[04:15.73]Valia mini waume wa wenzio iwe mwisho
[04:19.76]Kuvalia vitovu waume wa wenzio iwe mwisho
[04:23.93]Kupaka wanja kwa waume wa wenzio iwe mwisho
[04:28.07]Nataka nikupe mumueo nataka nikupe nyumba yako
[04:32.22]Nataka nikuinue nataka nikuinue
[04:36.01]
[04:36.56]Nataka nikuinue niinue mume wako
[04:40.63]Niinue nyumba yako nimwunue mke wako
[04:44.86]Nikupatia mchumba kiatu cha nyumba ndogo
[04:48.90]
[04:49.55]Mungu anasema nawewe hicho kiatu
[04:53.25]Ah hicho kiatu kivue
[05:11.88]
[05:19.12]Hicho kiatu
[05:20.78]
[05:21.28]Hicho kiatu
Kiatu Kivue-Anastacia Mukabwa/ROSE MUHANDO歌曲下载
| 歌曲 | 歌手 | 专辑 | 时长 | 歌曲下载 |
|---|---|---|---|---|
| Kiatu Kivue | Anastacia Mukabwa&ROSE MUHANDO | Kiatu Kivue | 05:42 |
|
| Nzilezilela | Anastacia Mukabwa&ROSE MUHANDO | Kiatu Kivue | 05:40 |
|
| Tabu Zangu | Anastacia Mukabwa&ROSE MUHANDO | Kiatu Kivue | 07:23 |
|
| Manamba | Anastacia Mukabwa&ROSE MUHANDO | Kiatu Kivue | 06:13 |
|
| Heshima | Anastacia Mukabwa&ROSE MUHANDO | Kiatu Kivue | 04:39 |
|
| Mfalme | Anastacia Mukabwa&ROSE MUHANDO | Kiatu Kivue | 08:02 |
|
| Nishike Mkono | Anastacia Mukabwa&ROSE MUHANDO | Kiatu Kivue | 05:30 |
|
| Utukuzwe | Anastacia Mukabwa&ROSE MUHANDO | Kiatu Kivue | 07:15 |
|
Kiatu Kivue-Anastacia Mukabwa/ROSE MUHANDO热门评论
Kiatu Kivue-Anastacia Mukabwa/ROSE MUHANDO 同专辑其他歌曲
- Utukuzwe-Anastacia Mukabwa/ROSE MUHANDO
- Heshima-Anastacia Mukabwa/ROSE MUHANDO
- Nzilezilela-Anastacia Mukabwa/ROSE MUHANDO
- Manamba-Anastacia Mukabwa/ROSE MUHANDO
- Tabu Zangu-Anastacia Mukabwa/ROSE MUHANDO
- Nishike Mkono-Anastacia Mukabwa/ROSE MUHANDO
- Mfalme-Anastacia Mukabwa/ROSE MUHANDO