Heshimuni Wazazi-Fadhili Williams Mdawida
Heshimuni Wazazi-Fadhili Williams Mdawida无损flac下载mp3下载
Heshimuni Wazazi-Fadhili Williams Mdawida 在线试听歌词免费下载
[ti:Heshimuni Wazazi]
[ar:Fadhili Williams Mdawida]
[al:Malaika]
[by:]
[offset:0]
[00:00.00]Heshimuni Wazazi - Fadhili Williams Mdawida
[00:06.14]Wazazi walikulea vizuri
[00:08.49]Ulipokuwa ungali mdogo
[00:11.22]
[00:11.79]Wazazi wako walikupenda
[00:14.68]Hata wewe ukawapenda sana
[00:17.03]
[00:17.54]Walikulea kwa gharama nyingi
[00:20.59]Wakajinyima na mengi ya dunia
[00:23.07]
[00:23.80]Kusudi utakapokuwa
[00:26.73]Uwe mtu wa maisha mema
[00:29.14]
[00:30.05]Sasa umeshateua
[00:32.57]Umeoa una watoto
[00:35.52]Mke wako anakuambia
[00:38.46]Wazazi wako ni wabaya sana
[00:41.09]
[01:06.18]Sasa hutaki kuwaona
[01:08.65]Wazazi wako hata kwa macho
[01:11.66]Huku mbuki gharama nyingi
[01:14.33]
[01:14.95]Walizokulea nazo
[01:17.37]
[01:18.17]Kijana toboa wazi
[01:20.95]Mama na mke ni yupi bora
[01:23.96]Kama mama hakukulea
[01:27.06]Hata mke hungelioa
[01:29.32]
[01:36.55]Kijana umesahau yote
[01:38.47]
[01:39.05]Wazazi waliokufanyia
[01:41.97]
[01:42.59]Umeweka bibi mbele
[01:45.23]Kuliko wazazi wako
[01:48.43]Oo hoo
[01:51.52]Sasa mke wako
[01:53.99]
[01:54.67]Anakugombanisha
[01:57.42]
[01:57.98]Na wazazi wako
[02:00.47]
[02:01.16]Oo hoo
[02:03.42]
[02:04.05]Hata anasema
[02:06.61]
[02:07.30]Wazazi wako
[02:10.27]Ni wachafu sana
[02:13.50]Oo hoo
[02:16.46]Sitaki kuwaona
[02:19.52]Hapa nyumbani kwangu
[02:22.64]Wataleta magonjwa
[02:25.21]
[02:25.91]Oo hoo
[02:29.01]Wee wanyamaza
[02:32.19]Kimya kama bubu
[02:35.16]Usije ukawachwa
[02:36.41]
[03:28.51]Anayekutukania mama
[03:30.97]
[03:31.56]Haki si mtu mwema
[03:34.89]Kama si mama kukulea
[03:37.89]Hungeliona dunia ya leo
[03:41.08]Kijana kumbuka
[03:44.00]
[03:44.58]Huwezi kupata
[03:47.28]
[03:47.89]Mama mwingine
[03:50.94]Kote duniani
[03:53.54]
[03:54.38]Lakini waweza
[03:57.08]
[03:57.65]Kupata mke mwingine
[04:00.69]Huwezi kupata
[04:03.60]
[04:04.19]Mama mwingine
Heshimuni Wazazi-Fadhili Williams Mdawida歌曲下载
Heshimuni Wazazi-Fadhili Williams Mdawida热门评论
Heshimuni Wazazi-Fadhili Williams Mdawida 同专辑其他歌曲
- Taxi Driver-Fadhili Williams Mdawida
- Ukifika Taita-Fadhili Williams Mdawida
- Baby I Love You-Fadhili Williams Mdawida
- Kumbuka Mbele-Fadhili Williams Mdawida
- Jitu La Madaraka-Fadhili Williams Mdawida
- Nimemwacha Wangu-Fadhili Williams Mdawida
- Malaika-Fadhili Williams Mdawida
- Ewe Wangu-Fadhili Williams Mdawida
- Zailai Zailai-Fadhili Williams Mdawida
- Sisi Kwa Sisi-Fadhili Williams Mdawida
- One for the Road-Fadhili Williams Mdawida
- Ngaba Niagesha Wapi-Fadhili Williams Mdawida
- Malaika Eng. Version-Fadhili Williams Mdawida
- Nilikuchagua-Fadhili Williams Mdawida
- Malaika New Version-Fadhili Williams Mdawida