NALIA NA MENGI-Diamond/Chidi Beenz
HQNALIA NA MENGI-Diamond/Chidi Beenz无损flac下载mp3下载
NALIA NA MENGI-Diamond/Chidi Beenz 在线试听歌词免费下载
[ti:NALIA NA MENGI]
[ar:Diamond/Chidi Beenz]
[al:DIAMOND PLATNUM\'Z]
[by:]
[offset:0]
[00:00.00]NALIA NA MENGI - Diamond/Chidi Beenz
[00:04.98]Written by:Unknown
[00:09.96]Me niliambiwa mapenzi ni kama bahari
[00:14.08]Ukishazama ndo basi umepotea
[00:16.78]Kumbe mwenzangu alikuwa na ta
[00:19.55]Badala ya kuzama me kwangu akaelea
[00:22.46]Akawa
[00:23.77]Ananidanganya
[00:25.28]Nikiwa
[00:25.71]Nadhani ananipenda sana sana
[00:28.44]Mikwanja nikamwaga mama
[00:31.06]Japo sio kivile akaw giamanna
[00:33.62]
[00:34.13]Akawa ananidanganya
[00:36.83]Nikiwa nadhani ananipenda sana
[00:39.65]Mbona mifedha nikamwaga mama
[00:42.52]Japo sio kivile akaw giamna
[00:44.76]Wakaja wajinga
[00:46.78]Wakamchukua
[00:47.76]Wakamhonga honga mwisho wakamnunua
[00:51.20]Wajinga
[00:52.56]Wakamchukua
[00:52.85]
[00:53.43]Wakamhonga honga mwisho
[00:55.36]Wakamnunua ayayayayaaaa
[00:57.90]Usinione nalia
[00:59.30]Usinione nalia
[01:00.75]Mwenzenu nalia na mengi
[01:03.26]Usinione nalia nalia sababu ya mapenzi
[01:09.05]Mwenzenu nalia nalia nalia na mengi
[01:14.30]Uuuhhhh jamani nalia nalia sababu ya mapenzi
[01:20.52]
[01:32.11]Najua alimaanisha kuwa simfai
[01:35.59]Ila lakini angesema
[01:37.83]Kuliko alichofanya me akantoa
[01:40.03]Nishai
[01:41.16]Akanimeza akanitema
[01:42.93]
[01:43.46]Nyie mapenzi yanauma vibaya
[01:45.80]Vibaya
[01:47.28]Vibaya
[01:48.62]Mmmmhhhhh mapenzi yanauma vibaya
[01:51.56]Vibaya
[01:52.86]Vibaya
[01:54.99]Ilagaf safari
[01:56.81]Ndo inanifanya mi usingizi sipati sipati
[02:00.28]Huwa nakumbuka mbali hasa nikisikia
[02:03.28]Harufu yake ya marashi
[02:05.39]Me kwa uchungu nilivyoumia
[02:08.24]Katika hili songi napum
[02:10.00]Nalia
[02:11.10]Nafuu kwangi hisia naimani
[02:14.24]Iko siku nyimbo itamfikia
[02:16.92]Me kwa uchungu nilivyoumia mie
[02:19.97]Katika songi napum
[02:21.37]Nalia
[02:22.05]
[02:22.69]Nafuu kwangi hisia naima ni
[02:25.70]Iko siku nyimbo itamfikia
[02:27.78]Ayayayaaaa
[02:29.19]Usinione nalia usinione nalia
[02:32.08]Mwenzenu nalia na mengi
[02:34.79]Usinione nalia nalia sababu ya mapenzi
[02:40.55]Mwenzenu nalia nalia nalia na mengi
[02:45.72]Uuuhhhh jamani nalia nalia sababu ya mapenzi
[02:50.74]Usione nakosa raha mama nalalama
[02:53.04]Kwako mara kadhaa
[02:54.18]We ni msaada kwenye tuta so ukichomoka balaa
[02:56.95]Sijiwezi kwangu giza naweza kimbiza na hii taa
[02:59.62]Na hilo unajua inavyoumiza
[03:01.08]Ushashuhudia mara kadhaa
[03:03.06]Wezi wakung'ang'anie ninung'unike nilie
[03:06.09]Njia yetu moja niache nipite si ukasimulie
[03:08.80]Ya kinyamwezi na swaga zako juu
[03:11.42]Na miguu napata picha kitandani kungfu
[03:14.28]Uko juu ukipita lazima wasome namba
[03:17.13]We ndo kibri fimbo kiboko ya midomo mamba
[03:19.73]Huu ndo mfano hata unajua neno pamba si
[03:22.38]Kwa kitambo ntakulinda kama
[03:24.55]Mkinga mwenye shamba
[03:25.74]Mikogo kila leo ntajigamba
[03:27.67]Lusu su ode ekke
[03:29.32]Kisela piga teke inauma
[03:31.34]Usiombe mapenzi yakupige teke inauma
[03:34.18]Usiombe mapenzi yakupige teke eeeh bounce
[03:37.17]
[03:37.81]Usinione nalia usinione nalia
[03:40.81]Mwenzenu nalia na mengi
[03:43.38]Usinione nalia nalia sababu ya mapenzi
[03:49.26]Mwenzenu nalia nalia nalia na mengi
[03:54.24]Uuuhhhh jamani nalia nalia sababu ya mapenzi
[04:00.75]Ah ah ah ahaha
[04:05.87]Ah ah ah uhhh
[04:11.50]Oh oh oh ahaha
[04:16.76]
[04:17.27]Ahaaaa
NALIA NA MENGI-Diamond/Chidi Beenz歌曲下载
| 歌曲 | 歌手 | 专辑 | 时长 | 歌曲下载 |
|---|---|---|---|---|
| So Clean So Fresh | chidi beenz | So Clean So Fresh | 04:31 |
|
| Kimbiza | chidi beenz | Kimbiza | 04:37 |
|
| On Fire | chidi beenz | On Fire | 03:30 |
|
| Chaguo Langu | chidi beenz | Chaguo Langu | 03:26 |
|
| Mmenisoma | chidi beenz | Mmenisoma | 03:59 |
|
| Ziim Ziima | chidi beenz | Ziim Ziima | 04:00 |
|
| Baby | chidi beenz | The Best of Chidi Beenz | 03:07 |
|
| Unaniacha Hoi | chidi beenz | The Best of Chidi Beenz | 04:01 |
|
| Natubu | chidi beenz | The Best of Chidi Beenz | 04:05 |
|
| It Is What It Is | chidi beenz | The Best of Chidi Beenz | 04:28 |
|
NALIA NA MENGI-Diamond/Chidi Beenz热门评论
NALIA NA MENGI-Diamond/Chidi Beenz 同专辑其他歌曲
- NENDA KAMWAMBIE-Diamond
- NITAREJEA-Diamond/하와이
- NAKUPA MOYO WANGU-Diamond/Mr. Blue
- JISACHI-Diamond
- WIVUWIVU-Diamond/Romy
- MBAGALA-Diamond
- I HATE YOU-Diamond/HEMEDY (P.H.D)
- BINADAMU-Diamond
- WAKUNESANESA-Diamond
- SI UKO TAYARI-Diamond
- TOKA MWANZO-Diamond/Romy
NALIA NA MENGI-Diamond/Chidi Beenz相关歌曲
- Ay Bass Player-Mayer Hawthorne
- Pourquoi-Magic System
- La Colegiala-Arielle Dombasle
- Girl I Love (I'm Lonely)-The Soil
- Can You Hear Me?(Ay[Live]ayaya)-Wiley/Ms. D/Skepta
- Sweety Mabhebeza-Uhuru
- Tease Me / Bad Guys-WizKid
- True Faith-Sophie Ellis-Bextor
- II. No Exit (Explicit)-Childish Gambino
- Como Te Sentes Tu ?-Ary/Abege/Ali Angel
- Return To Paradise-Sam Sparro
- Yatupasa Kushukuru-Ambassadors Of Christ Choir
- Olufunmi (Instrumental Edit)-Styl-Plus
- My Number-9ice/Victoria Kimani
- Mr. DJ-Styl-Plus
- Love the Way-Fresh Prince/9ice
- Don't Wanna See You Again-Styl-Plus
- Shortly Make it Clap-J Balvin