Ugali Sosa-Man Igwe
Ugali Sosa-Man Igwe无损flac下载mp3下载
Ugali Sosa-Man Igwe 在线试听歌词免费下载
[ti:Ugali Sosa]
[ar:Man Ingwe]
[al:Ugali Sosa]
[by:]
[offset:0]
[00:00.00]Ugali Sosa - Man Igwe
[00:15.34]Natafuta ufalme wa mungu na utakatifu wake
[00:22.96]Na vitu vyote vile vizuri nitaongezewa kama ugali sosa
[00:30.25]
[00:30.84]Huwezi pewa ugali sosa kama bado hujanunua
[00:38.07]
[00:38.64]Basi mwenzangu mtafute mungu utaongezewa ugali sosa
[00:45.83]
[00:47.21]Kuna hoteli ambayo mi huenda kukamata ugali na supu ya magoti
[00:50.86]Mara tu mlima wa ugali ukifika naanza kufanya test za mluhya
[00:54.51]
[00:55.16]Ya kwanza nafinya ugali inachomoka pande zote za mkono
[00:58.55]
[00:59.11]Ya pili navumba ugali tupa kwa ukuta narudi kama tennis
[01:02.49]
[01:03.03]Ya tatu napuliza ugali na moshi nyeupe inaenda spiral
[01:07.04]Ugali inapata certificate waiter leta sosa
[01:11.11]Natafuta ufalme wa mungu na utakatifu wake
[01:17.99]Na vitu vyote vile vizuri nitaongezewa kama ugali sosa
[01:25.25]
[01:25.95]Huwezi pewa ugali sosa kama bado hujanunua
[01:33.17]
[01:33.76]Basi mwenzangu mtafute mungu utaongezewa ugali sosa
[01:40.93]
[01:42.53]Naanza kusakata ugali namega ugali hapo kwa ngotitsa
[01:46.23]Halafu namwona wepukhulu kumbe alikuwa upande ule wa meza
[01:50.44]Waiter anamkaribia anamwuliza nikupe nini bwana
[01:53.67]
[01:54.53]Wepukhulu anasema ugali sosa na kadhalika
[01:58.10]Waiter anasema excuse me wepukhulu anazusha
[02:01.55]
[02:02.11]Mabouncer wakambeba juu wakamtandika chonga viazi
[02:06.45]Natafuta ufalme wa mungu na utakatifu wake
[02:13.03]Na vitu vyote vile vizuri nitaongezewa kama ugali sosa
[02:20.39]
[02:21.03]Huwezi pewa ugali sosa kama bado hujanunua
[02:28.31]
[02:28.84]Basi mwenzangu mtafute mungu utaongezewa ugali sosa
[02:36.05]
[02:37.60]Sasa wasee iko hivi tabia mbaya lazima tutawacha
[02:41.28]Tunataka baraka zake mungu lakini tunakataa mungu mwenye baraka
[02:45.22]Tunataka tupate uponyaji lakini tunakataa yesu mwenye kuponya
[02:49.16]Tunapenda sana miujiza lakini hatumpendi mungu mwenye kutenda
[02:53.20]Ni lazima tutatubu wapendwa tubadili mienendo tumtafute mungu
[02:56.93]Ukidharau mambo hii nasema haki roho safi utachonga viazi
[03:00.86]Natafuta ufalme wa mungu na utakatifu wake
[03:08.13]Na vitu vyote vile vizuri nitaongezewa kama ugali sosa
[03:15.91]Huwezi pewa ugali sosa kama bado hujanunua
[03:23.25]
[03:23.91]Basi mwenzangu mtafute mungu utaongezewa ugali sosa
Ugali Sosa-Man Igwe歌曲下载
Ugali Sosa-Man Igwe热门评论
Ugali Sosa-Man Igwe 同专辑其他歌曲
- Abber Father-Man Igwe
- Alpum Yanje-Man Igwe
- Anaponya-Man Igwe
- Boba Boba-Man Igwe
- Bwana Umetukuka-Man Igwe
- Chagua Kenya Kwanza-Man Igwe
- Chapati Ni Chapati-Man Igwe
- Faithful-Man Igwe
- Happy Nolia-Man Igwe