Sina Makosa-Les Wanyika
Sina Makosa-Les Wanyika无损flac下载mp3下载
Sina Makosa-Les Wanyika 在线试听歌词免费下载
Hasira za nini wee bwana
Hasira za nini wee bwana
Wataka kuniua bure baba
Wataka kuniua bure baba
Yule si wako
Nami si wangu
Chuki ya nini kati yangu
Mimi na wewe
Chuki ya nini kati yangu
Mimi na wewe
Hasira za nini wee bwana
Hasira za nini wee bwana
Wataka kuniua bure baba
Wataka kuniua bure baba
Kwako hayuko
Kwangu hayuko
Chuki ya nini kati yangu
Mimi na wewe
Chuki ya nini kati yangu
Mimi na wewe
Hasira za nini wee bwana
Hasira za nini wee bwana
Wataka kuniua bure baba
Wataka kuniua bure baba
Wewe una wako nyumbani
Nami nina wangu nyumbani
Chuki ya nini kati yangu
Mimi na wewe
Chuki ya nini kati yangu
Mimi na wewe
Nasema sina makosa wee bwana
Sina makosa wee bwana
Sina makosa wee bwana
Sina makosa wee bwana
Sina Makosa-Les Wanyika歌曲下载
Sina Makosa-Les Wanyika热门评论
Sina Makosa-Les Wanyika 同专辑其他歌曲
- Kwanza Jiulize-Les Wanyika
- Mbaya Wako Rafiki Yako-Les Wanyika
- Tafuta Wako-Les Wanyika
- Barua Yako-Les Wanyika
- Kujituliza Kasuku-Les Wanyika
- Wazazi-Les Wanyika